" GOLD FM YATANGAZA NAFASI MBILI ZA AJIRA KWA WANAWAKE WENYE UZOEFU KATIKA UANDISHI NA UTANGAZAJI

GOLD FM YATANGAZA NAFASI MBILI ZA AJIRA KWA WANAWAKE WENYE UZOEFU KATIKA UANDISHI NA UTANGAZAJI

 🟣 NAFASI ZA KAZI | WANAWAKE TU!

Gold FM inawakaribisha wanawake wenye kipaji kujiunga na timu yao kama Watangazaji wa Vipindi
📻 Nafasi zipo mbili tu (2) — usikose

🔻 SIFA ZA MUOMBAJI:
✅ Awe Mtanzania
✅ Awe na Diploma au zaidi kwenye Uandishi wa Habari / Utangazaji
✅ Umri usiozidi miaka 35
✅ Uzoefu wa kazi ya utangazaji kwa angalau miaka miwili
✅ Uwezo wa kuandaa na kuendesha vipindi vya:

  • Kijamii

  • Siasa

  • Utawala Bora

📩 Tuma Maombi Yako:
Andika barua ya maombi, ambatanisha CV, vyeti na DEMO yako kisha tuma kupitia:
📧 info@goldfm.co.tz

🕒 Mwisho wa kutuma maombi: Mei 10, 2025

📞 Kwa maelezo zaidi: +255 762 675 500

Post a Comment

Previous Post Next Post