" MAVUNDE APONGEZWA MGODI WA GEITA RESOURCE MKOANI GEITA.

MAVUNDE APONGEZWA MGODI WA GEITA RESOURCE MKOANI GEITA.


Mchimbaji wa madini Mkoani Geita Masanja Michael Manubi amepongeza Mhe,Anthony  Peter Mavunde pamoja na viongozi wenzake kwa namna wanavyo hiendesha wizara hiyo,kwa kusikiliza Kero kuzitatua Lkn pia kero nyingine kuzipeleka kwa Mhe, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo zinakuwa zimekosa Utatuzi na zinatatuliwa .

 Akizungumza na Misalaba Media, Magesa  Leo Tarehe 25/5/2025 Amesema  tunamshukuru Mhe,Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo amekuwa akitusikiliza Sisi Wachimbaji wadogo ,wadogo hakika shukhrani zetu atazipata 2025 kwa kumchagua kwa kishindo Wachimbaji wote Tanzania tumeamua

Lakini pia Magesa amesema anamuomba Mhe, Waziri Mwenye Zamana yake Anthony Peter Mavunde pamoja na Office yake kuwawezesha kupata Mitambo ya kisasa ili kuwasaidia katika Shughuri na kuweza kupata ufanisi wa kisasa kuachana na Uchimbaji wa kizamani alisema Mchimbaji uyooo

Aidha,amesema Mhe,Waziri Alizungumza siku ya Kongamano la Wachimbaji wote lilifanyika Katoro Mkoani Geita namna Mhe,alivyojipanga  kuwasaidia Wachimbaji wadogo ,wadogo hivyo Bhac ule Mpango ukianza Mgodi wetu upewe kipaumbele kwa Maana unachangia katika mapato ya selikali Kama ilivyo migodi Mingine.

Post a Comment

Previous Post Next Post