" Mume Wangu Alinilaza Kitandani Akitamka Jina la Mpenzi Wake wa Zamani—Nilivyopambana Kunusuru Ndoa Yetu Isivunjike

Mume Wangu Alinilaza Kitandani Akitamka Jina la Mpenzi Wake wa Zamani—Nilivyopambana Kunusuru Ndoa Yetu Isivunjike





Saa nane usiku, nikiwa nimeketi ukingoni mwa kitanda, nilijikuta nikimwangalia mume wangu kwa mshangao mkubwa. Alikuwa amelala fofofo, lakini ghafla akatamka jina la mwanamke mwingine kwa sauti ya mahaba, kana kwamba yuko naye.

“Susan… usiache… nakupenda, Susan…” Alisema huku akitabasamu kwa usingizi. Mimi ni Rehema, mke halali, lakini usiku huo nilihisi kama mgeni ndani ya ndoa yangu mwenyewe.

Nilikaa kimya, moyo wangu ukijaa huzuni na maswali. Nani tena huyu Susan? Je, ni mpenzi wake wa zamani au ni mwanamke wa sasa anayemuongelea usiku? Niliumia sana.

Sikutaka kuamsha fujo lakini niliamua kuchunguza kwanza kabla sijafanya maamuzi yoyote makubwa. Asubuhi ilipofika, nilimwandalia chai, nikamwangalia kwa macho ya kujiuliza, lakini hakuonyesha hata kidogo kwamba alisema lolote la ajabu usiku.



Siku zilisonga, na hali ile ya yeye kumtaja Susan ikaendelea, mara moja kwa wiki, mara mbili. Nilipojaribu kumuuliza moja kwa moja, alikanusha kila kitu. Alisema ana usingizi mzito na hata hakumbuki ndoto zake. Lakini mimi nilijua kilichokuwa kinaendelea roho yake haikuwa na mimi tena.

Ndoa yetu ilianza kulegea, na kila jambo likawa na mabishano. Hakunitazama tena kama mwanzo, hakunitamani tena, hata kugusa mkono wangu ilikuwa nadra.

Nilikuwa kama mpangaji nyumbani kwangu mwenyewe. Ndugu na marafiki hawakujua machungu niliyokuwa nikiyapitia, lakini mimi moyoni nilikuwa nalia kila siku.

Nilifikia hatua ya kufikiria kuondoka, lakini moyoni bado nilikuwa nampenda. Nilihitaji suluhisho ambalo lingesaidia kuokoa ndoa yangu bila kupigana au kumdhalilisha.



Ndio nilipokumbuka rafiki yangu aliyewahi kunieleza kuhusu wataalamu wa tiba mbadala waliomsaidia kwenye ndoa yake. Sikuchukua muda mrefu kuwasiliana nao.

Nilieleza kila kitu kilichokuwa kinanitokea kutotajwa tena kwa jina langu, ukimya kitandani, na jina la Susan linalotajwa kila usiku.

Walinielewa vizuri, wakaniambia kuwa hali hiyo si ya kawaida, na inawezekana kabisa kuna nguvu za kiroho zinazoathiri ndoa yangu. Walinishauri nitumie pete ya mahaba ya kiasili ambayo hufunga roho ya mwenzi wako ili arudi kwenye mstari, akupende, na akusahau kabisa waliopita.

Baada ya siku tatu tu tangu niipokee, mabadiliko yalianza. Alianza kuniangalia kwa macho yale ya awali. Alianza kuleta zawadi ndogondogo zabibu, ice cream, maua. Usiku mmoja aligeuka, akanikumbatia, akanisemezea maneno ya mapenzi.



Nilihisi kama mwanamke tena. Hakukuwa na jina la Susan tena usingizini. Ilikuwa ni “Rehema, asante kwa kuwa wangu. Nimebahatika sana kuwa na wewe.”

Ndani ya wiki moja, aliniomba msamaha kwa yale yote niliyoyapitia, hata bila mimi kumbana. Alisema amekuwa na ndoto za ajabu, na kila mara alikuwa akiiona mimi nikilia au nikimuacha.

Ndoto hizo zilimshitua na kumfanya atambue thamani yangu. Nilimkumbatia kwa machozi siyo ya huzuni, bali ya ushindi. Leo hii, ndoa yetu imerejea kuwa tamu kama ilivyokuwa mwanzo.

Mapenzi yamerudi kwa kasi, na kitandani tunaelewana kuliko wakati wowote. Hatutengani, tunapanga mambo pamoja, tunacheka, tunasali. Kwa kweli najivunia kuwa mke wake tena.



Sikupambana kwa mabishano au vitisho nilitafuta suluhu ya kiasili na nikapata amani. Kama kuna mwanamke anasoma hii na anapitia kitu kama changu, usikate tamaa. Kuna msaada ambao unaweza kubadili kila kitu bila hata kulazimisha.

Wataalamu walioweza kunisaidia wanapatikana kupitia:
Simu: +255 763 926 750 pia waweza kuwatembelea katika ofisi za mkoa wa Mara, Tanzania.

SOMA ZAIDI

Post a Comment

Previous Post Next Post