" PAPA MPYA APATIKANA

PAPA MPYA APATIKANA


Na: Belnardo Costantine, Misalaba Media 

VATICAN.
Moshi mweupe umeonekana ukifuka kutoka kwenye bomba la moshi katika Kanisa la Sistine Chapel, ni wazi mchakato wa upigaji kura umekamilika na makadinali wamemchagua mrithi wa Papa Francis.

Taarifa ya kupatikana kwa papa mpya imetolewa mda mfupi baada ya moshi mweupe kuonekana ikiwa ni ishara ya papa mpya kupatikana.

hatahivyo ametajwa kwa majina yake kamili kama Cardinal Robert Francis Prevost.
sambamba na hilo Channel ya 'Vatican city TV "television ya inayomilikiwa na serikali ya Vatican imemtaja Cardinal Robert Francis Prevost kama papa wa 267 ambaye atatumia jina la "Pope leo XIV" katika majukumu yake ya kipapa.

Post a Comment

Previous Post Next Post