🟣 NAFASI ZA KAZI | WANAWAKE TU!
Gold FM inawakaribisha wanawake wenye kipaji kujiunga na timu yao kama Watangazaji wa Vipindi
📻 Nafasi zipo mbili tu (2) — usikose
🔻 SIFA ZA MUOMBAJI:
✅ Awe Mtanzania
✅ Awe na Diploma au zaidi kwenye Uandishi wa Habari / Utangazaji
✅ Umri usiozidi miaka 35
✅ Uzoefu wa kazi ya utangazaji kwa angalau miaka miwili
✅ Uwezo wa kuandaa na kuendesha vipindi vya:
-
Kijamii
-
Siasa
-
Utawala Bora
📩 Tuma Maombi Yako:
Andika barua ya maombi, ambatanisha CV, vyeti na DEMO yako kisha tuma kupitia:
📧 info@goldfm.co.tz
🕒 Mwisho wa kutuma maombi: Mei 10, 2025
📞 Kwa maelezo zaidi: +255 762 675 500
Post a Comment