" Tanzia : MZEE SALIM ABDALAH SIMBA AFARIKI DUNIA

Tanzia : MZEE SALIM ABDALAH SIMBA AFARIKI DUNIA

 

Mzee Alhaj Salim Abdalah Simba enzi za uhai wake
Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya wa Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga Alhaj Salim Abdalah Simba amefariki dunia.

Taarifa kutoka ndani ya CCM Shinyanga zinaeleza kuwa mzee Simba amefariki dunia usiku wa Mei 11,2025 katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga.


Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde


CHANZO - Malunde 1 Blog

Post a Comment

Previous Post Next Post