Moja ya Mchimbaji mdogo wa madini Mkoani Geita Musese Magesa ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mwana Mama Shupavu Dkt Samia Suhulu Hassani kwa kazi Kubwa ya kuwaboreshea miundo Mbinu ya Umeme chini ya Mhe,Naibu Waziri Mkuu Dotto Mashaka Biteko ambae ndiye Mwenye Dhamana hiyo ya Umeme.
Akizungumza Magesa na Waandishi officen kwake Leo 23/5/2025 amesema “Sisi Kama Wachimbaji wadogo tupo pamoja na mama katika uchaguzi wa mwaka huu na Tunamuunga mkono katika uchaguzi wa mwaka huu ,Babarabara Mama ametujengea Alisema Magesa
Naye Manager Eward Mtani ambae ni manager wa Magesa Gold mine alipongeza Mhe,Rais lkn pia kwa namna alivyowawezesha kumudu shughuri za uchimbaji katika kipindi chake hiki Lakini mtani alisema anaomba kuwezeshwa Mashine za kuchoronga Hali ambayo Itawawezesha Kuwa na Uwezo Mkubwa wa kazi zao kwa ufanisi Mkubwa.
Post a Comment