" WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA, UWEKEZAJI NA UTALII KATI YA JAPAN NA TANZANIA

WAZIRI MKUU AFUNGUA KONGAMANO LA BIASHARA, UWEKEZAJI NA UTALII KATI YA JAPAN NA TANZANIA






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii kati Japan na Tanzania kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Westin, Osaka Japan, Mei 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Jarida linaloeleza fursa za uwekezaji Zanzibar lililoandaliwa na Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar, alipofungua Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii kati ya Japan na Tanzania kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Westin, Osaka Japan, Mei 26, 2025. Kulia ni Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Omar Said Shaaban na kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar, Hamad Hamad. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano la Biashara, Uwekezaji na Utalii kati ya Japan na Tanzania alilolifungua kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Westin, Osaka Japan Mei 26, 2025. Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo na kulia kwake ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Fujii Hisayuki. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kubota la Japan, Bw. Yaichi Kitao kwenye hoteli ya Westin, Osaka Japan, Mei 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika la Kubota la Japan, Bw.Yaichi Kitao baada ya mazungumzo kwenye hoteli ya Westin, Osaka Japan, Mei 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Chama cha Uchumi na Maendeleo Afrika (AFRECO) cha Japan, Bw. Tetisuro Yano katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye hoteli ya Westin, Osaka Japan, Mei 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Taasisi ya TOKUSHUKAI ya Japan, Shinichi Higashiue katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye hoteli ya Westin, Osaka Japan, Mei 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

Previous Post Next Post