" GOLDBERG – BIA YA KIWANGO CHA JUU

GOLDBERG – BIA YA KIWANGO CHA JUU

🟡 GOLDBERG – BIA YA KIWANGO CHA JUU

🌟 GOLDBERG – "BEER OF OUR OWN CLASS" 🌟

Kutoka kiwanda cha kisasa kilichopo Shinyanga, Tanzania – kampuni ya East African Spirits (T) Ltd inakuletea GOLDBERG, bia yenye ladha laini na ya kipekee inayomuweka mnywaji katika daraja la watu wanaojitambua.

Ikiwa na asilimia 4.4% ya kilevi, Goldberg ni chaguo sahihi kwa mnywaji anayetaka burudani yenye hadhi, ubora na heshima.

🔸 Ladha murua isiyochosha
🔸 Harufu ya kuvutia isiyokera
🔸 Hakuna hangover
🔸 Imetengenezwa kwa viwango vya kimataifa, kwa kutumia malighafi bora

Chagua GOLDBERG. Chagua Daraja La Juu.
Kwa wale wanaojitambua – Goldberg ni zaidi ya bia, ni mtindo wa maisha.


📍Inazalishwa na:
East African Spirits (T) Ltd
📍 Makao Makuu: Shinyanga, Tanzania
📧 info@eastafricanspirits.co.tz

📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254

📢 FURAHA YAKO, FAHARI YETU!
🔞 Hii ni bidhaa kwa watu waliotimia miaka 18 na zaidi. Kunywa kistaarabu.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post