🌍 HANSON’S LITE PREMIUM LAGER – JIPONGEZE KWA KILE UNACHOSTAHILI!
Ikiwa umetimiza majukumu yako ya kila siku, umefikia malengo yako ya wiki au unahitaji muda wa kupumzika na marafiki zako, Hanson’s Lite ndiyo bia sahihi kwa ajili yako.
🍺 HANSON’S LITE
✅ Bia nyepesi yenye ladha ya kipekee
✅ Imetengenezwa kwa teknolojia ya kisasa
✅ Haina uzito mwingi wa kilevi – inafaa kwa wale wanaopenda kufurahia kwa kiasi
✅ Ubora wa Kitanzania wenye hadhi ya kimataifa
🎯 “Better Lite – Jipongeze” si maneno tu, ni wito wa kujithamini.
Toka kazini, toka msongo wa mawazo – jipe muda na Hanson’s Lite, bia iliyoandaliwa kwa ustadi, heshima na hadhi yako.
📍Inapatikana sasa kote nchini kupitia kampuni ya:
East African Spirits (T) Ltd
📬 P.O.Box 707, Shinyanga, Tanzania
📧 info@eastafricanspirits.com
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
🚫 HAIFAI KWA WENYE MIAKA CHINI YA 18
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment