Katibu wa chama cha waganga wa Tiba Asili Tanzania (TAMESO) Lukas Mlipu amesema chama hicho kimepokea kwa Mikono
Miwili Maelekezo ya Mhe, Rais DKT Samia Suluhu Hassan ya kutojiusisha Ramli Chonganishi haliyatoa hivi kalibuni Maeneo ya Kisesa Bujora Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza
Akizungumza Na Waandishi wa Habari Lukas mlipu alisema wao kama (TAMESO) wanaungana na Mhe, Rais kukemea Ramli chonganishi ambazo zinafanywa na Waganga wa Tiba Asili wasiokuwa Waaminifu kwa lengo la kuchafua Iyoo Tasnia kwa ajira watu wasio waamini ili waweze kuwaalibia na Wenzao Jambo ambalo si sahihi na wengine kwa Maslahi Yao Binafsi.
Mlipu pia Amewataka wagombea kutodanganyika kwa aina yeyote ya kwamba mtu anaweza kushinda Ubunge kupitia Waganga au Udiwan Yale walioyatekeleza Ndiyo yatakatoyo warudisha Madarakani au jinsi atakavyojinadi kwa wananchi wake Madarakani na siyo Waganga Kama wanavyodhani.
Post a Comment