Naibu Waziri Kivuli wa Habari, Mawasiliano na TEHAMA kupitia ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi, amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini kupitia chama chake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Ntobi amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za ACT Wazalendo Wilaya ya Shinyanga Mjini huku akieleza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi kwa uwazi, ukweli na kusimamia haki.
Ntobi amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za ACT Wazalendo Wilaya ya Shinyanga Mjini huku akieleza dhamira yake ya kuwatumikia wananchi kwa uwazi, ukweli na kusimamia haki.
Post a Comment