Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kanda ya Mashariki akifungua semina hiyo kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa EWURA leo Juni 16, 2025.
Na Mapuli Kitina Misalaba
Semina ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu Mamlaka ya Udhibiti wa
Huduma za Nishati na Maji (EWURA) pamoja na majukumu yake inaendelea leo katika
ukumbi wa mikutano wa Beachcomber Hotel, jijini Dar es Salaam.
Semina hiyo
imefunguliwa rasmi na Nyirabu Musira kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA,
ambapo amesisitiza umuhimu wa waandishi wa habari kuelewa kazi na majukumu ya
EWURA ili waweze kuhabarisha jamii kwa usahihi na ufasaha.
Kwa upande wake,
Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania
(MISA-TAN), Edwin Soko ameishukuru EWURA kwa hiyo hiyo, akisema kuwa ni hatua muhimu katika
kuimarisha ushirikiano baina ya mamlaka hiyo na vyombo vya habari nchini.
Baadhi ya
washiriki wa semina hiyo ambao ni wanachama wa MISA-TAN kutoka mikoa mbalimbali
ikiwemo Mwanza, Arusha, Pwani, Dar es Salaam na Shinyanga, wameahidi kuzingatia
yale wanayojifunza kupitia mawasilisho mbalimbali na kwenda kuyatekeleza kwa
vitendo katika kazi zao za kila siku za uandishi wa habari.
Semina hiyo inaendelea, ikilenga kuimarisha uelewa wa
wanahabari juu ya mfumo wa udhibiti wa sekta ya nishati na maji nchini.
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za
Nishati na Maji (EWURA) kanda ya Mashariki akifungua semina hiyo kwa niaba ya
mkurugenzi mtendaji wa EWURA leo Juni 16, 2025.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari
Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA-TAN), Edwin Soko akizungumza kwenye
semina hiyo leo Juni 16, 2025.

Semina na kuwajengea uwezo waandishi wa habari ili waweze kuifahamu EWURA na
majukumu yake, ikiendelea jijini Dar Es Salaam leo Jumatatu Juni 16, 2025.

Post a Comment