
Siwezi kusahau jinsi ilivyokuwa kuingia kwenye inbox ya mtu kila siku, ukijua ataiona lakini hatarudisha. Siku moja nilimtumia “Hi
Nikamshangilia birthday yake WhatsApp, akani-reply wiki mbili baadaye na emoji ya keki tu. Blue tick ikawa kama tabia, kama marafiki wa karibu wa moyo wangu ulioumia kimya kimya.
Yote haya yalikuwa kwa sababu nilimpenda sana. Alikuwa mvuto wa jicho, mchangamfu mtaani na kila mtu alimjua. Tulikuwa tukiongea mara chache lakini mara zote nilihisi kama kuna connection fulani. Hata hivyo, mimi niliamua kupenda zaidi bila kujua kama upande wa pili ulikuwa na moyo kama wangu.
Niliona status zake kila siku memes, mazoezi, selfie. Lakini DM zangu hazikuwa zikigusiwa kabisa. Marafiki waliniambia niachane naye, wengine walinicheka: “Acha kujiabisha kwa mtu ambaye hakujui hata vizuri.” Lakini moyo wa mapenzi haueleweki ulikuwa unanivuta kwake kila siku.

Ilibidi nijikubali kuwa nimepigwa ‘blue tick ya moyo’. Nilijaribu kusahau, nilijaribu kuanzisha mazungumzo na watu wapya, lakini hakuna aliyeingia moyoni kama yeye.
Mpaka siku moja nikiwa salon, mwanamke mmoja akanieleza jinsi mume wake alivyomtelekeza na baada ya msaada fulani akarudi akiomba msamaha. Alinielekeza kwa kiwanga doctors waliomsaidia kwa njia ya kiroho, na kwa ujasiri nikachukua namba.
Nilipowasiliana nao, nilieleza hali yangu yote. Waliniuliza jina langu na la yule niliyetamani apendane nami. Wakaniambia hali kama yangu ni kawaida, na ikitibiwa kiroho kwa njia sahihi, mtu anayekupuuza huanza kukukumbuka kwa ghafla na hata kutubu kwa kukunyima muda.
Nilipewa maelekezo ya maombi maalum kwa usiku tatu mfululizo, na pia dawa ya kupaka kidole kabla ya kumwandikia chochote. Nilifanya kwa bidii, kwa siri, bila kumwambia mtu yeyote. Nilimaliza siku ya tatu nikiwa na imani hata kama sikujua nini kingetokea.

Wiki haijaisha, aliposti status ya ujumbe wa mapenzi wa kina, kisha akaniandika DM ya kwanza baada ya miezi kadhaa. Alisema, “Nimekuwa nikikuwaza sana. Sikujua kwanini, lakini roho yangu inanisukuma tu kuzungumza nawe.” Sikuamini. Nilijibu kwa heshima, nikawa mpole. Akaanza kuandika tena na tena.
Leo, mtu huyo huyo aliyekuwa hani-reply hata emoji, ananiandikia paragraph za mapenzi kila asubuhi. Kila paragraph ina emoji ya moyo, ya macho yanayotoka machozi, ya pete ya ndoa. Ameniambia wazi kuwa hajawahi kupata amani kama ile anayopata akinizungumza. Sasa ananipigia hata bila sababu, anapanga tuoneane, na ananiita “my peace.”
Najua wazi kuwa haya hayakutokea kwa bahati tu. Maombi yale maalum yalimfungua. Moyo wake uliguswa, na macho yake yaliona kile ambacho hakikuwahi kuonekana awali. Nilipokuwa nikilia juu ya blue tick, sikuamini kama ningekuja kuwa mtu anayepokelewa na moyo mweupe hivi.
Nimejifunza kuwa mapenzi hayaendi kwa sura wala kwa status ya WhatsApp. Wakati mwingine ni roho kuunganishwa. Na kwa msaada wa Kiwanga Doctors, niliwezeshwa kuunganishwa na upendo wa kweli bila kulazimisha, bila kulilia.
Aliyesaidia: Kiwanga Doctors
Simu: +255 763 926 750
SOMA ZAIDI
Post a Comment