🟡 CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)
"Quality is Our First Priority"
🔍 Unatafuta fursa ya kusoma kozi zenye soko kubwa kitaifa na kimataifa?
Jiunge sasa na Earth Sciences Institute of Shinyanga (ESIS) – chuo kinachoongoza kwa elimu ya madini, mafuta, na gesi nchini Tanzania.
📚 KOZI ZINAZOTOLEWA:
✅ Utafutaji na Uchimbaji wa Madini (Exploration and Mining Geology)
✅ Jiolojia ya Mafuta na Gesi (Petroleum Geology)
✅ Uhandisi wa Usindikaji wa Madini (Mineral Processing Engineering)
✅ Kozi za Muda Mfupi (Tailor-made Short Courses)
💸 MIKOPO YA SERIKALI INAPATIKANA!
Wanafunzi wa kozi za Cheti na Diploma katika programu za Madini, Mafuta, na Gesi wanastahili kupata mkopo wa elimu kupitia HESLB (kwa wanaokidhi vigezo vya serikali).
🧭 KWA NINI UJIUNGE NA ESIS?
✔ Walimu waliobobea na wenye uzoefu mkubwa
✔ Mitaala kamilifu inayozingatia soko la ajira
✔ Mafunzo kwa nadharia na vitendo – migodini, maabara na site visits
✔ Taaluma bora kwa mazingira rafiki ya kujifunzia
✔ Ushirikiano wa karibu na sekta ya madini na nishati
📝 OMBA SASA
👉 Tembelea tovuti: www.esis.ac.tz
📞 Simu/WhatsApp:
-
+255 765 434 604
-
+255 766 405 653
-
+255 687 434 617
🔔 USIPITE NJE YA FURSA HII!
𝗝𝗶𝘂𝗻𝗴𝗲 𝗻𝗮 𝗘𝗦𝗜𝗦 𝗹𝗲𝗼 𝗻𝗮 𝗮𝗻𝘇𝗮 𝘀𝗮𝗳𝗮𝗿𝗶 y𝗮 𝗺𝗮𝗳𝗮𝗻𝗶𝗸𝗶𝗼 𝗸𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮 𝘀𝗲𝗸𝘁𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗱𝗶𝗻𝗶 𝗻𝗮 𝗻𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶! 🌍✨
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment