JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS) – FURSA YA KIPEKEE KUJIFUNZA TEKNOLOJIA ZA MADINI TANZANIA
🌍 EARTH SCIENCE INSTITUTE OF SHINYANGA
📚 "Quality is Our First Priority"
Maombi ya kujiunga kwa ngazi ya Certificate na Diploma yanaendelea.
Fursa hii ni maalumu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita pamoja na wale waliomaliza masomo ya awali ya ufundi au sekta nyingine.
Kozi Zinazotolewa:
✅ Exploration and Mining Geology
✅ Petroleum Geology
🎓 Kwa wanafunzi wenye sifa ya kupata mkopo wa serikali kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB), watapatiwa mkopo huo kwa mujibu wa vigezo vya serikali.
Jinsi ya Kuomba:
Tembelea tovuti yetu rasmi: 🌐 www.esis.ac.tz
Jaza fomu ya maombi kupitia mfumo wa mtandao kwa urahisi na haraka.
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
📞 Mawasiliano Zaidi:
☎️ +255 765 434 604
☎️ +255 687 434 617
📍Shinyanga, Tanzania
✨ Jiunge na Chuo cha Madini Shinyanga Leo
👉 Anza safari yako ya kitaaluma katika sekta ya madini na mafuta!
NAFASI BADO ZIPO – USIKOSE!
Post a Comment