" MO Dewji: Ndoto Yangu Kubwa Bado Nikuchukua Ubingwa wa Afrika

MO Dewji: Ndoto Yangu Kubwa Bado Nikuchukua Ubingwa wa Afrika

 MO Dewji: Ndoto Yangu Kubwa Bado Nikuchukua Ubingwa wa Afrika



 “Msimu huu haukuwa rahisi tumepitia changamoto nyingi lakini tumeonesha uimara mkubwa leo hii Simba inashikilia nafasi ya tano kwenye viwango vya CAF huku bado tukiwa katika mchakato wa kujenga upya kikosi chetu, ni mafanikio ya kujivunia kwa Club iliyokuwa nafasi ya 85 mwaka 2017/28 wakati uwekezaji ulianza, Simba imeendelea kuandika historia..... ni Club pekee kutoka Tanzania kufika fainali ya CAF mara mbili ingawa hatukutimiza kila lengo tumeonesha dhamira tukipambana kwa heshima na moyo wa Simba, bado ndoto yangu ni ileile kuipa Simba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika” - Mwekezaji na Rais wa heshima wa Simba Mohammed Dewji.

Post a Comment

Previous Post Next Post