“Msimu ujao tunarejea kwa nguvu mpya, kipaumbele chetu kikubwa kitakuwa kwenye usajili makini na wa kimkakati tukilenga kuleta Wachezaji bora watakaoongeza ushindani bora na kina ndani ya kikosi, sambamba na hilo tutaongeza nguvu kwenye benchi la ufundi ili kuhakikisha Timu yetu inapata mwongozo sahihi wa kufikia mafanikio, nimetenga fedha za kutosha kuhakikisha Timu yetu inakuwa bora zaidi”
——— Mwekezaji na Rais wa heshima wa Simba Sports Club Mohammed Dewji.
Post a Comment