🔊 NAFASI BADO ZIPO – JIUNGE SASA NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)!
🌍 "Quality is Our First Priority"
Chuo cha Madini Shinyanga (Earth Sciences Institute of Shinyanga - ESIS) kinapokea maombi kwa ngazi za Cheti (Certificate) na Stashahada (Diploma) katika kozi zifuatazo:
✅ Exploration and Mining Geology
✅ Petroleum Geology
🎯 Kwa wanafunzi wenye sifa, MIKOPO YA SERIKALI kupitia Bodi ya Mikopo (HESLB) inapatikana!
Usikose fursa hii adhimu ya kujenga maisha yako ya baadaye katika sekta ya madini na nishati!
📞 WASILIANA NASI LEO:
📱 +255 765 434 604
📱 +255 687 434 617
🌐 Tembelea: www.esis.ac.tz
👉 JIUNGE SASA – JENGA TAALUMA YAKO NA FURSA YA AJIRA ZA UHAKIKA!
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment