" Nilikuwa Kibarua, Sasa Nimeajiri Wenye Degree Kupitia Msaada Spesheli

Nilikuwa Kibarua, Sasa Nimeajiri Wenye Degree Kupitia Msaada Spesheli




Miaka miwili iliyopita nilikuwa najitahidi tu kuishi. Nilikuwa kibarua wa kubeba mizigo sokoni kazi za kuchafuka mikono, kulala njaa mara kwa mara, na kuamka mapema sana nikisaka riziki ambayo haikuwa na uhakika. Siku moja kuna kazi, kesho hakuna. Nilikuwa na ndoto kubwa sana, lakini sikuwa na mtaji, msaada wala mtu wa kuniinua.


Wakati wenzangu walikuwa wakijipanga na mipango ya maisha kununua pikipiki, kuanzisha biashara ndogo ndogo, hata kusomesha watoto wao mimi nilikuwa nikiishi kwa mkono wa mdomo. Ukipata kazi ya siku hiyo, unakula. Ukikosa, unalala na njaa.

Nilijaribu kuuza bidhaa ndogondogo kama pipi na maji, lakini hakuna biashara iliyodumu. Kila nilichoshika kilionekana kama hakina bahati. Ilifika wakati nikaanza kuamini labda mimi nimeandikiwa kuwa maskini. Kuna wakati hata nilijaribu mkopo wa SACCOS, lakini nikaambiwa sina dhamana. Nilihisi dunia imenigeuka.

Hapo ndipo rafiki yangu mmoja akanisogeza pembeni na kuniambia maneno ambayo sitasahau: “Bro, hujawahi kujiuliza kwanini kila ukijaribu biashara inakufa? Kuna watu wanasaidia kusafisha nyota yako ya biashara.



Unahitaji msaada wa kiroho.” Nilicheka kwa mara ya kwanza baada ya wiki nyingi, nikidhani ni mzaha. Lakini uso wa jamaa haukutoa kicheko hata kidogo. Alinipa namba ya kuwasiliana nayo akasema, “Jaribu, hautapoteza chochote.”

Nilichukua hatua ya kuwasiliana. Nilipoeleza shida zangu hasara mfululizo, kutokuwepo kwa bahati, kukosa maendeleo nilielekezwa kufanya mambo kadhaa ya kawaida: nilielekezwa nifanye maombi maalum usiku kwa siku tatu, kutumia mafuta maalum ya biashara, na kuweka majani maalum dukani pindi nitakapoanza tena.

Nikiwa na matumaini madogo lakini moyo wa kujaribu, niliendelea kufanya nilichoelekezwa. Siku mbili baadaye, nilipigiwa simu na mtu niliyekutana naye zamani, akaniambia kuna mzigo wa bidhaa anauza kwa bei ya chini sana kwa sababu anasafiri. Nikachukua hiyo fursa, nikaweka meza nje ya nyumba yangu nikaanza kuuza.

Mambo hayakuwa makubwa siku ya kwanza, lakini nilihisi tofauti. Wateja walianza kuja polepole. Wiki moja baadaye, nilihamishia biashara sokoni. Baada ya mwezi, nilipanua bidhaa nikawa nauza mkaa, maharagwe, chumvi, na maji.

Nilianza kupata faida kidogo. Nilirudisha pesa kwenye biashara. Nilifuata masharti niliyopewa na niliendelea kupokea ushauri wa mara kwa mara. Ndani ya miezi mitatu, nilikuwa na kibanda kamili, nikitambulika mtaani kama kijana anayejituma. Niliwahi hata kuitwa kwenye mkutano wa wafanyabiashara wachanga.



Mwaka mmoja baadaye, nilihamia kwenye fremu ya mtaa mmoja maarufu mjini. Sasa ninauza jumla na rejareja. Nina wafanyakazi watatu wa kudumu, wote wenye diploma na degree.

Mimi, yule kibarua wa jana, sasa ninalipa mishahara mwisho wa mwezi. Wateja wananiamini. Ninalipa kodi kwa wakati. Na ninamudu hata kutuma pesa kijijini kila wiki bila wasiwasi.

Najua haya yote hayawezi kueleweka kwa mtu ambaye hajapitia changamoto za maisha. Lakini kwa moyo wa dhati, nasema: msaada nilioupata ulifungua njia zilizokuwa zimefungwa. Nilikuwa kibarua wa kuomba kazi mtaani. Leo, ni watu wanakuja kuniomba kazi.

Kama unajihisi unahangaika, kila unachojaribu hakifanikii, tambua hujachelewa. Msaada spesheli unaweza kuwa kile unachokihitaji ili maisha yako yaanze kugeuka.

Mimi nilisaidiwa na Kiwanga Doctors. Walinisikiliza bila kunihukumu, walinielekeza kwa utulivu, na waliniinua bila hata kuniuliza jina la familia yangu.

Wasiliana nao kwa:
+255 763 926 750

SOMA ZAIDI

Post a Comment

Previous Post Next Post