
Nilimpenda sana. Zaidi ya kupenda, nilimheshimu na kumchukulia kama rafiki wa kweli. Tulikuwa tumekutana kazini, na kuanzia siku ya kwanza alipoomba namba yangu, nilihisi kuna kitu cha kipekee. Mahusiano yetu yalianza kwa kasi nzuri, tukawa tukizungumza kila saa, tukitoka pamoja, na hata kupanga mambo ya baadaye kwa ujasiri.
Lakini miezi michache baadaye, kila kitu kilianza kubadilika. Simu zangu zilianza kujibiwa kwa mkato. Ujumbe nilimtumia saa tatu asubuhi ulijibiwa saa mbili usiku, na mara nyingi bila hata salamu. Nilipojaribu kuanzisha mazungumzo ya undani, alikua mwepesi wa kusema, “niko busy,” “leo nimechoka,” au “tutazungumza baadaye.”
Nilianza kubaki peke yangu kwenye mipango yetu ya kawaida. Outing zilizokuwa kawaida ya kila wiki zikageuka kumbukumbu. Badala ya lunch pamoja, nilikula peke yangu ofisini. Badala ya jumamosi ya kutembea, alikua na ‘harusi ya binamu’ au ‘kazi ya dharura.’ Sikujua kama alikuwa ananicheza au kuniacha polepole.
Ilikuwa inaniuma sana. Wakati mwingine nilijikuta nikilia usiku, nikiwaza nilikosea wapi. Nilijitahidi kuwa mpenzi bora, nilitoa muda, nilielewa majukumu yake ya kazi, lakini bado nilihisi kana kwamba sipendwi tena. Kibaya zaidi, alikataa hata kusema kama hataki tuendelee alikua akiniacha nikiwa kwenye ukimya wa mateso.

Rafiki yangu mmoja wa karibu aliyekuwa ameona jinsi nimebadilika kutokana na mahusiano haya, aliniambia kwa upole: “Labda si wewe ndiye mwenye tatizo. Kuna wakati mapenzi hufungwa kiroho.
Labda kuna kitu kimemzuia kuona thamani yako.” Akanishauri niongee na watu wanaosaidia katika masuala ya kiroho ya mapenzi. Akaniambia: “Mimi nilisaidiwa na Kiwanga Doctors, maisha yangu ya mapenzi yamebadilika sana. Waite.”
Kwa matumaini ya mwisho, nilipiga simu kwa Kiwanga Doctors kupitia namba hii: +255 763 926 750. Nilieleza kila kitu. Walinisikiliza kwa huruma na utulivu, wakaniambia kuna kivuli kimewekwa kati yangu na yule ninayempenda. Wakaniambia mapenzi yake yamepunguzwa na nguvu za nje ambazo zilitumwa kwa lengo la kunitenganisha naye.
Walinipa dawa ya mvuto wa mapenzi na maelekezo ya kutumia maneno ya kuimarisha uhusiano wangu kila usiku kabla ya kulala. Pia nilipewa maombi maalum kwa siku tatu mfululizo si magumu, ila yalihitaji imani na uthabiti wa moyo.

Baada ya siku tano tu, alinitafuta mwenyewe. Akaniuliza kama tunaweza kuonana. Alikua mnyenyekevu, tofauti kabisa na alivyoonekana siku za nyuma. Tukakutana, na kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa, alinishika mkono na kuniambia, “Samahani sana kwa kukupuuza. Nilikuwa napitia mambo sijayaelewa vizuri, lakini sitaki kukupoteza.”
Tangu siku hiyo, hakuniwacha tena. Kila asubuhi napata ujumbe wa “Have a good day babe.” Kila wiki anapanga tukapumzike mahali au hata tuzuru hoteli kwa outing ndogo. Yeye sasa ndiye anayependa tukutane mara kwa mara na si mimi tena ninayemuomba.
Sijui ni kwa namna gani ningeweza kushukuru vya kutosha, lakini ninajua wazi kwamba bila msaada wa Kiwanga Doctors, ningeendelea kupuuzwa katika kimya changu.
Kama unahisi upo kwenye uhusiano wa upande mmoja, au mpenzi wako amebadilika bila sababu, usinyamaze. Kuna suluhisho.
Wasiliana na Kiwanga Doctors:
SOMA ZAIDI
Post a Comment