" Rais Ruto Asema Hatang’atuka Ng’oo Kwa Shinikizo la Maandamano

Rais Ruto Asema Hatang’atuka Ng’oo Kwa Shinikizo la Maandamano

 Rais Ruto wa Kenya

Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano Julai 23, 2025, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi wote wa Kenya hatimaye wataondoka ofisini.

“Kama wale waliokuwa kabla yangu, wakati wangu utafika na nitakwenda,” Rais alisema. “Lakini, kwa heshima, mabwana na mabibi, sababu zenu ni zipi za ‘Ruto lazima aondoke’?”

Miaka miwili iliyopita kumeshuhudiwa maandamano mabaya yanayoongozwa na vijana dhidi ya utawala wa Ruto kuhusu gharama ya juu ya maisha, ushuru, ukosefu wa ajira, ufisadi serikalini na mageuzi yake ya sera yanayopingwa


Post a Comment

Previous Post Next Post