📢 AJIRA INAANZIA HAPA - JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS) UPATE ELIMU KWA VITENDO
⛏️ AJIRA INAANZIA HAPA!
Udahili kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma unaendelea katika kozi zetu bora zinazokupa maarifa ya vitendo na fursa za ajira:
✅ Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji Madini)
✅ Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)
🟨 Pia, tunatoa Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses) kwa mahitaji ya wadau wa sekta ya madini na mafuta.
🎯 Wanafunzi wote wenye sifa ya kupata mkopo wa Serikali kupitia HESLB watapata nafasi hiyo kwa mujibu wa taratibu na vigezo vilivyowekwa.
💻 Apply Now: www.esis.ac.tz
📞 Wasiliana Nasi:
+255 765 434 604 | +255 687 434 617
CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS) – ELIMU KWA VITENDO, AJIRA KWA UHAKIKA!
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🌐 Tovuti: www.esis.ac.tz
Post a Comment