" KAMILISHA NDOTO YAKO KWA ELIMU YA MADINI NA MAFUTA, UDAHILI UNAENDELEA – JIUNGE NA ESIS SASA!

Top News

KAMILISHA NDOTO YAKO KWA ELIMU YA MADINI NA MAFUTA, UDAHILI UNAENDELEA – JIUNGE NA ESIS SASA!

KAMILISHA NDOTO YAKO KWA ELIMU YA MADINI NA MAFUTA, UDAHILI UNAENDELEA – JIUNGE NA CHUO CHA MADINI SHINYANGA (ESIS)

🌍 Earth Science Institute of Shinyanga

UDAHILI UNAENDELEA!
Jiunge nasi leo kwa ngazi ya Cheti (Certificate) na Diploma katika kozi zifuatazo:

Exploration and Mining Geology (Utafutaji na Uchimbaji wa Madini)
Petroleum Geology (Jiolojia ya Mafuta na Gesi Asilia)

🟨 Pia, tunatoa Kozi Maalum za Muda Mfupi (Tailor Made Short Courses) kwa mahitaji ya wadau wa sekta ya madini na mafuta.

🎯 Faida za kusoma ESIS

  • Elimu kwa vitendo (Practical Oriented Learning)

  • Kozi zenye mahitaji makubwa sokoni

  • Wanafunzi wenye sifa hupata mkopo wa Serikali kupitia HESLB

👉 Ajira inaanzia hapa – Jenga maisha yako kupitia elimu ya madini na mafuta!

🌐 Apply Now: www.esis.ac.tz
📞 Help Desk: +255 765 434 604 | +255 687 434 617

GUSA LINK HAPA CHINI👇


Post a Comment

Previous Post Next Post