" MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 03, 2025

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI AGOSTI 03, 2025


 


     

   


🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA






Hakuna kitu kinauma kama mke wako ambaye unamtunza kwa kumgharamikia kila kitu ili aweze kuishi vizuri na kupendeza unasikia anatembea na mwanaume mwingine nje ya ndoa.

Jambo hilo limewahi kunikuta tena mbaya zaidi mke wangu alikuwa anatembea na mfanyakazi wangu wa ndani wa kiume (house boy) ingawa nilikuwa namuuliza kila mara na yeye akikanusha hilo.

Naitwa Sulemani, nimemuoa huyu mke wangu miaka mitatu iliyopita, tulifungua ndoa na kufanya harusi ya gharama kubwa zaidi ya Sh200 milioni kutokana familia yangu na yake ni watu wenye uwezo mkubwa kiuchumi.

Tulianza kuishi pamoja katika nyumba ambayo tayari nilikuwa nimeinunua, mwanzoni mwa ndoa yetu maisha yalikuwa ni mazuri yaliyotaliwa na upendo, ukarimu na ucheshi wa kila mmoja wetu.

Kutokana mke wangu na mimi ni watu wa kwenda kazini asubuhi na kurudi jioni tulikubaliana kwamba tuweke wafanyakazi wawili, wa kike (house girl) kwa ajili ya kazi za ndani kama kupika na usafi, huku wa kiume (house boy) kwa ajili ya usafi wa mazingira huko nje.

Tuliwapata vijana hao wakarimu na kukubaliana kuwalipa kiasi kizuri cha mshahara, kweli walifanya kazi kwa bidii na kila tuliporudi jioni tulikuta kila kitu kimefanyika katika ubora wake wake mzuri.

Baada ya muda kama miezi miwili nilipokea taarifa kutoka kwa house girl wangu kuwa mke wangu amekuwa akitembea na house boy, nilijaribu kumuuliza mke wangu lakini akakataa katu katu kuwa hafanyi jambo hilo.

Siku moja nikiwa ofisini katika majukumu yangu, niliweza kutembelea tovuti ya Kiwanga Doctors na kubaini kuwa wanaweza kunisaidia kubaina kama mke wangu anachepuka.

Nilichukua namba ya mtoa huduma ambaye ni Kiwanga Doctors kutokea Migori, Kenya kisha kuwasiliana naye mara moja na kumueleza shida yangu.

Aliniambia nisiwe na shida kwani tayari wamewasaidia watu wengi, niliendelea kuvuta subra kuona ni kitu gani kitatokea maana sikutaka kuchukua uamuzi kabla ya kushuhudia kama ni kweli mke wangu ni msaliti wa ndoa yetu.

Hazikupita siku nyingi nilishtuka usingizini na kumkuta mke wangu hayupo kitandani, nilifikiri labda ameenda chooni ila muda ilivyozidi kwenda nilijua kabisa kuna sehemu yupo.

Niliamka nakwenda moja kwa moja kwenye chumba cha house boy, nilisikiliza kwa makini na kubaini kuna jambo ndani, nilifungua kile chumba na kuwasha taa na kumkuta mke wangu na yule house boy wakifanya yao. Niliamua kurudi zangu kwenda kulala, mke wangu alikuja chumbani huku akilia sana.

Aliniomba msamaha hadi nikamuonea huruma, niliamua kumfuta kazi yule house boy na kumsamehe mke wangu na tukaendelea na maisha yetu ya ndoa. Niseme wazi bila Kiwanga Doctors nisingeweza kumkamata mbaya wangu maana sio kawaida kuchepuka kwa mtindo ule wa uwazi kiasi kile bila uoga.

Mbali na hayo, Kiwanga Doctors ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Ni watu wengi hadi sasa wamepata mafanikio, uponyaji na furaha kupitia huduma za Kiwanga Doctors ambao unaweza kuwasiliana na kwa namba +255 763 926 750 au tembelea tovuti yao, maelezo zaidi kuhusu huduma zao ambazo zimewasaidia wengi.

SOMA ZAIDI

Post a Comment

Previous Post Next Post