Mgombea Wa Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi( Ccm) Paschal Chinyele amesema atahakikisha chama chake Jimbo Hilo Kuwa Atamueshimisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Ccm Taifa.
Aidha Chinyele amewataka Wananchi hao kuhakikisha wanaenda kuvunja Rekodi kwa kumpa kura za kutosha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mimi mwenyewe Mbunge na Madiwani.
GUSA LINK HAPA CHINI👇
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment