" MWILI WA HAYATI NDUGAI WAWASILI KANISA LA MTAKATIFU MACHAEL, DINARI YA KONGWA

MWILI WA HAYATI NDUGAI WAWASILI KANISA LA MTAKATIFU MACHAEL, DINARI YA KONGWA

Mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Ndugai ukiwasili katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa mkoani Dodoma tayari kwa Ibada ya kumuaga leo 11 Agosti, 2025.

Post a Comment

Previous Post Next Post