
Kwa mkoa wa Rukwa, zoezi la usambazaji na uuzaji wa majiko banifu utafanywa na mtoa huduma kampuni ya Greenway Grameen Infra Pvt Limited na ECOMANA Tanzania Limited ambapo jumla ya majiko banifu 5,094 yatauzwa kwa wananchi kwa bei ya ruzuku.Gharama ya jiko moja ni TZS 71,500 lakini serikali imetoa ruzuku ya asilimia 80 hivyo mwananchi atanunua jiko kwa gharama ya TZS 14,300.Kwa upande wake, Katibu Tawala wa mkoa wa Rukwa, ameishukuru REA kwa kuendelea kutekeleza kwa vitendo mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ili mpaka ifikapo 2034 basi asilimia 80 au zaidi ya watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikiaMwisho.

GUSA LINK HAPA CHINI👇
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment