" Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!

Mwamuzi Wa Tanzania Kuongoza Michezo Ya Kombe La Dunia!

 

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limemchagua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuchezesha mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026, kati ya Cape Verde na Eswatini!

Mchezo huu unatarajiwa Oktoba 13, nchini Cape Verde, na ushindi wa Cape Verde utawapa fursa ya moja kwa moja kufuzu Kombe la Dunia!

Tanzania iko kibao cha fahari kuona mwamuzi wake akiwakilisha taifa kwenye kiwango cha kimataifa!

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Post a Comment

Previous Post Next Post