Mchimbaji wa Madini na Mdia Nia wa Udiwani kata ya Butobela Mkoani Geita Paschal Mapungo ni mdau aliyeshiriki katika tukio la Usiku Maalum wa Wadau mbalimbali kwa mchango wa Kukuza Sekta ya Wachimbaji wadogo Paschal niongoni mwa Wadau waliotambua juhudi zake kubwa katika kukuza Sekta kama Mchimbaji Mdogo.

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment