HomeHABARI SERIKALI MKOANI MBEYA YAOMBWA KUWEKA WEPESI WA UPATIKANAJI WA MBAO AINA YA MNINGA Misalaba Media September 12, 2025 0 Na Lydia Lugakila, Misalaba MediaBaadhi ya wauzaji wa majeneza Mkoani Mbeya wameomba Serikali kuwezesha upatikanaji wa mbao aina ya mninga kwa urahisi na gharama nafuu. Sadah Sebba, maarufu Mama Moshi na Fidea Menance, wameeleza changamoto wanazokumbana nazo na umuhimu wa mbao hizo katika biashara yao. Bi Sadah Anasisitiza ubora wa mti wa mninga na haja ya Serikali kusaidia wafanyabiashara kupata mbao hizo kwa wingi ili kukuza sekta hiyo.Amessema mbao hizo zimekuwa zikipatikana kwa wingi kutoka nchini Zambia huku zinapoletwa Nchini Tanzania zimekuwa na bei mkubwa.Hata hivyo ameahidi kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake na anapatikana kwa mawasiliano 0765 507 301.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA You Might Like View all
Post a Comment