Na Lydia Lugakila
Mbeya
Kampeni katika jimbo la Uyole zinatarajiwa kuzinduliwa rasmi mnamo septemba 13,2025 katika uwanja wa Shule ya Msingi Hasanga kuanzia majira ya saa 02:00 Asubuhi.
Aidha wananchi wote wamehimizwa kujitokeza kwa wingi ili kuwasikiliza viongozi wagombea.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment