
Mgombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiomba kura wakati wa kampeni yake ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika kwenye kata ya Kitongoni jimboni hapo, mkoani Kigoma, Septemba 26, 2025. Zitto aliambatana na viongozi na wanachama wa chama hicho walipokuwa wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo.








🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA KAMPUNI YA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Post a Comment