Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha siku ya wafamasia duniani iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya wafamasia wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza wakati wa hafla fupi ya kuadhimisha siku ya wafamasia duniani iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Idara ya magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akikata keki wakati akimuwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge katika hafla fupi ya kuadhimisha siku ya wafamasia duniani iliyofanyika jana katika taasisi hiyo (Picha na JKCI)
Post a Comment