" INEC YATOA ANGALIZO KWA CHAMA CHA ACT - WAZALENDO KUHUSU LUHAGA MPINA

INEC YATOA ANGALIZO KWA CHAMA CHA ACT - WAZALENDO KUHUSU LUHAGA MPINA


 

Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiwa  na Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej. Wawili hao walikua wapeperushe bendera ya chama cha ACT WAZALENDO kabla ya kuwekewa pingamizi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali na kuenguliwa katika mbio za kuwania kiti cha Rais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.




Post a Comment

Previous Post Next Post