Katika kuadhimisha kumbukizi ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Misalaba Media inatarajia kwenda LIVE leo tarehe 14 Oktoba, kufuatilia na kuripoti moja kwa moja matukio ya maadhimisho hayo muhimu kitaifa.Ungana nasi mubashara kupitia channel yetu ya YouTube: Misalaba Media.
Post a Comment