" AZAN ZUNGU ATEULIWA NA CCM KUWA MGOMBEA WA SPIKA BUNGE LA TANZANIA

AZAN ZUNGU ATEULIWA NA CCM KUWA MGOMBEA WA SPIKA BUNGE LA TANZANIA



AZAN ZUNGU ATEULIWA NA CCM KUWA MGOMBEA WA SPIKA BUNGE LA TANZANIA

Mhe Mussa Mzungu Mti Mkavu ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania katika uchaguzi wa ndani ya chama uliofanyika Leo. 

1. Kura zilizopigwa – 364

2. Kura zilizoharibika – 0

MATOKEO.

1. Mhe. Masele – 16

2. Mhe Zungu – 348

                                                 ...............
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata viongozi wapya leo baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa Spika na Naibu Spika jijini Dodoma.

Katika uchaguzi huo, aliyekuwa Naibu Spika wa wa Bunge lililopita na Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu, ameshinda nafasi ya Spika kwa kura 348 akiwashinda wagombea wenzake ambapo Steven Masele alipata kura 16 pekee.

Kwa upande wa nafasi ya Naibu Spika, mbunge Daniel Silo ameibuka kidedea baada ya kupata kura 362, huku wagombea wengine waliokuwa wamejitokeza awali wakijitoa kabla ya upigaji kura kuanza.

Post a Comment

Previous Post Next Post