" BASEMBI EXTRA LAGER — NGUVU YA LADHA HALISI!

BASEMBI EXTRA LAGER — NGUVU YA LADHA HALISI!

 

BASEMBI EXTRA LAGER — NGUVU YA LADHA HALISI!

Kazi ni kazi, jasho ni jasho — lakini ukimaliza majukumu yako, stahili yako ni kikombe chenye ladha inayorekebisha mwili na kuinua morali.
Basembe Extra Lager ni bia iliyotengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu, yenye ladha nzito, safi na ya kifahari ambayo imewavutia wachimbaji, wafanyakazi na wanywaji wanaopenda ubora bila kuzunguka.

Kwa nini Basembe?
✔️ Ladha imara inayokatiza kiu mara moja
✔️ Ubora wa kipekee unaotokana na viwango bora vya uzalishaji
✔️ Kinywaji kinachoheshimu nguvu ya mtu anayejituma kila siku
✔️ Chaguo sahihi kwa marafiki, familia na mikusanyiko ya kila aina

Basembe Extra Lager – Madini, Fahari Yetu… Ladha ya Kila Mtu!

Kwa mawasiliano na oda mbalimbali:

Kampuni ya East African Spirits (T) Ltd

ENJOY RESPONSIBLY — NOT FOR SALE TO PERSONS UNDER THE AGE OF 18




 

🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA

Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
✉️ info@eastafricanspirits.com

Post a Comment

Previous Post Next Post