" DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

DKT. SAMIA AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Jumatatu Novemba 3,2025

Post a Comment

Previous Post Next Post