Na Mwandishi wetu, Misalaba Media
Mashindano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE yamejenga historia ya Miaka Mitano Mpaka sasa Kwa mchezaji atakaye kuwa Man of the Match kwenye mchezo wa Finally basi msimu unaofuatia anateseka na majeraha ya Muda mrefu mfano
Mwaka 2019 Fainaly kati ya Liverpool Vs Tottenham Hotspur ambayo Liverpool walibeba ubingwa Kwa Goli la Virgil Van Dijk amabe aliibuka Man of the Match na Msimu uliofuatia aliuguza jeraha Kwa muda mrefu
Fainaly ya mwaka 2020/2021 Fainal Kati ya Manchester City Vs Chelsea ambao Chelsea alibeba ubingwa huo kwa Goli la Kai Havertz na Mchezaji Ngolo Kante aliibuka mchezaji Bora wa mchezo Msimu uliofuatia alipata jeraha lililodumu Kwa muda mrefu
Fainaly ya mwaka 2021/2022 Kati ya Liverpool Vs Real Madrid ambayo Fainal hyo bingwa alikuwa ni Real Madrid Kwa Goli la Vinicious junior na Man of the Match wa mchezo huo alikuwa kipa Tibhaut Courtous ambae alifanya saves nyingi sana na Msimu uliofuatia wa 2022 alipata jeraha lililodumu Kwa muda mrefu
Fainaly ya mwaka 2022/2023 Kati ya Manchester City Vs Inter Milan ambayo Mancity alibeba taji lile na Man of the Match alikuwa ni Rodrigo (Rodri) na yeye pia msimu uliofuatia mwaka 2023 alipata jeraha lililodumu Kwa muda mrefu pia
Fainaly ya mwaka 2023/2024Kati ya Real Madrid vs Dortmund Man of the Match alikuwa ni Dani Carvajal nayeye msimu uliofuatia alipata jeraha lililodumu Kwa muda mrefu
Na Fainaly ya mwaka 2024/2025 Kati ya PSG VS INTER MILAN Man of the Match alikuwa ni Desire Doue nayeye msimu huu mpaka sasa ni majeruhi ambayo ameyapata Kwa Muda mrefu Mpaka sasa umepita
Swali je Fainal ya UEFA Ina shida gani Kwa wachezaji wanaoibuka Man of the Match na je msimu huu atakayekuwa Man of the Match nayeye ajiandae Kwa majeruhi msimu ujao

Post a Comment