" MTOKO MKALI WA USIKU WA SHUKURANI 2026: CHUKUA TISHETI YAKO MAPEMA KWA BEI NAFUU

MTOKO MKALI WA USIKU WA SHUKURANI 2026: CHUKUA TISHETI YAKO MAPEMA KWA BEI NAFUU

 MTOKO MKALI WA USIKU WA SHUKURANI 2026: CHUKUA TISHETI YAKO MAPEMA KWA BEI NAFUU

Kama bado haujapata Mtoko Mkali wa USIKU WA SHUKURANI 2026-BARAKA TELE sijui utakua unakwama wapi tu sasa?😆

Wahi sasa ujipatie Tisheti kali na za Kijanja ili upendeze pamoja nasi huku ukiwa umechangia kuwezesha shughuli hii maalumu kabisa ya kumrudishia Bwana Utukufu na utakua umechangia Ibada njema ya kuwawezesha watu wa Makundi Maalumu/wenye uhitaji.

USIKU WA SHUKURANI 2026 - ABUNDANT BLESSINGS🔥🔥🔥

Bei ni nafuu kabisa;

- Tsh 15,000/= Mikono Mifupi

- Tsh 20,000/= Mikono Mirefu

- Tsh 25,000/= Masweta

Weka Oda yako sasa kwa kupiga Namba za Simu ‪+255(0)685 788 063‬(AIC Kambarage Choir)

Au Piga simu hizi kwa wauzaji wetu hapa Shinyanga;

Maeneo ya Majengo na Mjini ni Leonadia - ‪+255 61 402 8803‬

Maeneo ya Kambarage na Ndala ni Abel - ‪+255 62 849 5081‬

#wakatinisasa

#abundantblessings

#barakatele

#usikuwashukurani


Post a Comment

Previous Post Next Post