JE UNAHITAJI KUWA MMOJA WA WADHAMINI/SPONSOR WA TUKIO KUBWA LA USIKU WA SHUKURANI-ABUNDANT BLESSINGS 2026?
Tafadhali wasiliana nasi kwa namba za simu +255(0)685 788 063, na kisha uchague sehemu/kipengele unachoweza kukisimamia ama kuchangia sadaka yako ili kufanikisha Ibada hii kubwa kwa Utukufu wa Mungu.
Unaweza kuchangia;
- Fedha taslimu
- Vitu halisi kwaajili ya kusaidia Wahitaji
- Usafiri
- Matangazo
- Mapambo
- Matenti na majukwaa
- Mifumo ya Taa
- Muziki
- Na kadhalika...
Tunaahidi Weledi na Heshima kwa Wadhamini wetu kwa kadri ya makubaliano yetu. Zaidi ya yote ni kwamba utakua umeshiriki kuugusa Moyo wa Mungu kwa kufanikisha Ibada hii inayokusudia kurudisha Shukurani kwake yeye Muumba wa Mbingu na Nchi.
Usisahau USIKU WA SHUKURANI 2026 NI BARAKA TELEE..🔥🔥🔥






































Post a Comment