

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Jenifa Christian Omolo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 21 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Kedmon Elisha Mapana kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 21 Novemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Lazaro Samuel Nyalandu kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 21 Novemba, 2025

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Bi. Jenifa Christian Omolo, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Dkt. Kedmon Elisha Mapana na Balozi Lazaro Samuel Nyalandu kwa pamoja wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 21 Novemba, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 18 Novemba, 2025.🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254
✉️ info@eastafricanspirits.com
Post a Comment