" Bondia Anthony Joshua Amchapa TKO Bondia Jake Paul

Bondia Anthony Joshua Amchapa TKO Bondia Jake Paul

 


Bondia Anthony Joshua ameendelea kuikumbusha Dunia juuu ya uwezo wake , hii mi baada ya kumshinda Jake Paul kwa TKO , kwenye raundi ya sita ya pambano lililofanyika usiku wa Ijumaa, Desemba 19, 2025, kwenye uwanja wa Kaseya Center mjini Miami, Florida.

Joshua, ambaye ni bingwa wa uzito wa juu, alikuwa na kiwango bora sana na kufanya iwe ngumu kwa Paul kummudu tangu raundi za mwanzoni na hatimae kulamba mchanga raund ya 6

Post a Comment

Previous Post Next Post