Madereva wa Magari ya Abiria wamepewa elimu ya kuacha tabia ya kuyapita Magari mengine barabarani pasipo kuchukua tahadhali kwa watumiaji wengine wa barabara Elimu hiyo imetolewa na Askari Polisi wa Kikosi Cha usalama barabarani Mkoa wa Shinyanga Sajenti David Ndimila ambapo amewataka madereva kuheshimu watumiaji wengine wa barabara pindi wanapoyapita Magari mengine barabarani ili kuepusha ajali zinazoweza kutokea kutokana na kutokuchukua tahadhali barabaraniAidha Sajenti Ndimila amewataka madereva hao kuepuka mwendo hatarishi na kutekeleza majukumu yao pasipo kusimamiwa.
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254


Post a Comment