" GOLDBERG MALT LAGER – ZAWADI YA KUJIPONGEZA, FURAHA YA SIKUKUU

GOLDBERG MALT LAGER – ZAWADI YA KUJIPONGEZA, FURAHA YA SIKUKUU

 GOLDBERG MALT LAGER – ZAWADI YA KUJIPONGEZA, FURAHA YA SIKUKUU

East African Spirits (T) Ltd inakuletea Goldberg Malt Lager, bia ya hadhi yenye ladha laini, ubora wa kiwango cha kimataifa na mng’ao unaoifanya siku yako iwe ya kipekee hasa kwenye sherehe au sikukuu.

Ni wakati wa kujipongeza kwa kazi uliyoifanya mwaka mzima.
Fungua Goldberg Malt Lager, jisikie utulivu, ladha halisi ya malt na furaha inayokamilisha sherehe zako za sikukuu.

Kwa marafiki, familia au muda wako binafsi — Goldberg Malt Lager ni chaguo sahihi la kuifanya Happy Holiday iwe ya kukumbukwa.

👉 Inapatikana karibu na wewe, kwenye maduka na maeneo yote ya vinywaji.

Kwa mawakala, wasambazaji na wafanyabiashara changamkia fursa ya mauzo kipindi hiki cha sikukuu kwa kuagiza Goldberg Malt Lager mapema.

Goldberg Malt Lager ni bia yenye ubora wa juu, ladha ya kipekee na mvuto unaoaminika sokoni — chaguo sahihi kwa mauzo ya uhakika kipindi cha Krismasi na Mwaka Mpya.

👉 Wasiliana nasi sasa kwa oda:
📞 +255 767 650 806
📞 +255 763 304 652
📧 info@eastafricanspirits.com

USIKOSE MAUZO YA SIKUKUU — ODA MAPEMA, UONGEZE FAIDA

Hairuhusiwi kuuzwa kwa walio chini ya umri wa miaka 18. 

 

Post a Comment

Previous Post Next Post