USIKU WA SHUKRANI 2026 – FASHION, BARAKA NA HUDUMA KWA WENYE UTAJIRI WA ROHO
Kama bado haujapata mtoko mkali wa USIKU WA
SHUKURANI 2026 – BARAKA TELE, sijui unakwama wapi tu sasa? 😆🔥
Usikubali ukose look ya kipekee kabisa katika Usiku wa Shukrani!
Wahi sasa ujipatie Tisheti au Sweta kali za kisasa—zilizobuniwa kwa mvuto, ubora na staili ya kipekee—ili upendeze pamoja nasi huku ukichangia kufanikisha shughuli hii maalum ya kumrudishia Bwana Utukufu.
Kila unachonunua pia kinagusa maisha ya watu wa makundi maalumu na wenye uhitaji, kwa sababu sehemu ya mauzo inaelekezwa kuwawezesha wao.
Hii sio tu fashion… ni huduma! 🙏❤️
USIKU WA SHUKURANI 2026 – ABUNDANT BLESSINGS🔥🔥🔥
💰 BEI ZETU NI NAFUU KABISA:
-
Tsh 15,000/= — Tisheti Mikono Mifupi
-
Tsh 20,000/= — Tisheti Mikono Mirefu
-
Tsh 25,000/= — Masweta
📞 WEKA ODA YAKO SASA!
Simu ya Kwaya: +255 685 788 063 (AIC Kambarage Choir)
Wauzaji Maalum – Shinyanga:
📍 Majengo & Mjini: Leonadia – +255 614 028 803
📍 Kambarage & Ndala: Abel – +255 628 495 081
🔥 Wahi kabla hayajaisha!
🔥 Vaa baraka, onekana vizuri, na saidia kugusa maisha ya wengine!

Post a Comment