Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho akizungumza na wazee wa Mkoa wa Mara katika eneo la Komaswa, Wilaya ya Tarime leo tarehe 24 Disemba, 2025. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi Mhe. Fadhili Maganya, Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi, Mjumbe wa Halmashauri Kuu (NEC) Mhe. Christopher Gachuma, Mtoto wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere.Katika kikao hicho kilichohudhuriwa na wazee zaidi ya 160, wazee wameazimia kulinda na kudumisha amani na utulivu katika Mkoa wa Mara na kufanya kikao kama hicho kila mwaka.
🥃🍶 TUMIA VINYWAJI BORA VYA EAST AFRICAN SPIRITS – BEI RAFIKI, LADHA SAFI BILA HARUFU MBAYA
Wasiliana nasi:
📍 East African Spirits (T) Ltd
📞 +255 767 650 806 | +255 652 096 254





















Post a Comment