" Hizi hapa Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa

Hizi hapa Bei Mpya za Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa

 

Dar es Salaam, Januari 7, 2026 – Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo mpya za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazoanza kutumika nchini kuanzia leo Jumatano, zikionesha mabadiliko mbalimbali kulingana na bandari na aina ya bidhaa.

Post a Comment

Previous Post Next Post