" KAMPENI YA KUMCHANGIA KOCHA PAPE THIAW YAENDELEA ILI KULIPA FAINI

KAMPENI YA KUMCHANGIA KOCHA PAPE THIAW YAENDELEA ILI KULIPA FAINI

 

Wananchi wa Senegal wameanzisha kampeni ya kuchanga ili kulipa faini ya dola za Marekani 100,000 ($100,000) iliyopigwa kocha wao Pape Thiaw baada ya fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Morocco.

Mpaka sasa, kampeni hiyo imeshakua na zaidi ya dola za Marekani $4,300 sawa na FCFA 2,400,000, Kwa shilingi za Kitanzania ni milioni 10.9

Hata hivyo Pape Thiaw amewashukuru na amewaomba michango hiyo wapewe watu wenye uhitaji.

 

Post a Comment

Previous Post Next Post